JOSHUA NASSARI: ATANGAZWA KUWA MBUNGE KWA KISHINDO ARUMERU MASHARIKI

Joshua Nasari

Mgombea Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA , Joshua Nassari ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo kwa kunyakua asilimia 72.60 za kura zote.

> WALIOJIANDIKISHA:  160,647 ni 100%
> WALIOPIGA KURA: 119,399 sawa na Asilimia 74.32%

Kulikuwa na wagombea 6, Mmoja alitokomea na form yake bila kurudi, Mmoja alijitoa kwenye kinyang'anyiro hicho na kufanya kubakia na wagombea wa vyama vinne ACT , CCM, CHADEMA na  AFC.

JIMBO LA ARUMERU

WALIOJIANDIKISHA
160,647
100%
WALIOPIGA KURA
119,399
74.32%
KURA HALALI
Hazijatajwa
-
KURA ZILIZOHARIBIKA
Hazijatajwa
-

MATOKEO:
#
CHAMA
KURA
ASILIMIA
1
ACT
622
0.52
2
AFC
236
0.19
3
CCM
31,847
75.00
4
CHADEMA
86,694
72.60*
 
Hivyo hata mwisho imeonyesha kuwa hata katika ngazi ya Uraisi UKAWA imeibwaga CCM katika jimbo hilo la Arumeru Mashariki kwa zaidi ya kura 50,000.
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com