MATOKEO YA MAJIMBO 27 YALIYOTANGAZWA NA NEC


Matokeo yote yaliyotangazwa na tume haya hapa. Haya ni matokeo ya vyama vikubwa viwili yaani CHADEMA  chini ya mwamvuli wa UKAWA na Chama Cha Mapindizi (UKAWA).

1. Makunduchi
Magufuli 8,406 - 81.20%
Lowasa 1,769 - 17.09%

2. Paje
Magufuli 6,035 - 75.00%
Lowasa 1,899 - 23.60%

3. Lulindi
Magufuli 31,603 - 71.28%
Lowasa 11,543 - 26.03%

4. Pwani - Kibaha Mjini
Magufuli 34,604 - 57.15%
Lowasa 25,448 - 42.03%

5. Bumbuli Tanga
Magufuli 35,310 - 80.23%
Lowasa 7,928 - 18.01%

6. Mtwara - Ndanda
Magufuli 33,696 - 62.34%
Lowasa 19.017 - 35.18%

7. Katavi - Nsimbo
Magufuli 31,413 - 83.18%
Lowasa 6,042 - 15.99%

8. Kusini Pemba - Kiwani
Magufuli 1,661 - 26.91%
Lowasa 4,229 - 68.51%

9. Kask Unguja - Kiwengwa
Magufuli 3,317 - 73.30%
Lowasa 1,104 - 24.40%

10. Donge
Magufuli 5,592 - 83.69%
Lowasa 1,019 - 15.99%

11. Chambani
Magufuli 818 - 12.90%
Lowasa 5,319 - 83.90%

12. Mtambile
Magufuli 902 - 12.99%
Lowasa 5,875 - 84.58%

13. Mkoani
Magufuli 3,341 - 30.43%
Lowasa 7,368 - 67.10%

14. Kojani - Kask Pemba
Magufuli 1,561 - 13.21%
Lowasa 9,982 - 84.50%

15. Wete - Kask Pemba
Magufuli 958 - 15.50%
Lowasa 5,119 - 82.80%

16. Gando - Kask Pemba
Magufuli 881 - 12.74%
Lowasa 5,903 - 85.34%

17. Mtambwe - Ksk Pemba
Magufuli 428 - 5.70%
Lowasa 6,937 - 92.33%

18. Mgogoni - Ksk Pemba
Magufuli 710 - 9.59%
Lowasa 6,506 - 87.91%

19. Kisarawe Pwani
Magufuli 24,076 - 63.36%
Lowasa - 13,093 - 34.44%

20. Mbinga Mjini
Magufuli 29,295 - 70.44%
Lowasa 11,695 - 28.12%

21. Manyamba - Mtwara
Magufuli 24,904 - 58.21%
Lowasa 16,992 - 39.72%

22. Moshi Mjini
Magufuli 28,909 - 36.23%
Lowasa 49,088 - 61.88%

23. Mkinga Tanga
Magufuli 23,798 - 59.81%
Lowasa 15.142 - 38.06%

24. Peramiho Ruvuma
Magufuli 32,505 - 73.20%
Lowasa 11,291 - 25.43%

25. Njombe Mjini
Magufuli 33,626 - 61.59%
Lowasa 20,368 - 37.31%

26. Singida Mjini
Magufuli 36,035 - 64.98%
Lowasa 19,007 - 34.27%

27. Lindi Mjini
Magufuli 21,088 - 54.10%
Lowasa 17,607 - 46.60%

- Jumla ya majimbo mpaka sasa  ni 27 Kati ya 265
- Jumla Magufuli - 455,472
- Jumla Lowasa   - 307,290
    Tofauti ya kura - 148,422

Matokeo mengine yatatangazwa saa tatu kesho asubuhi
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com