TB JOSHUA awasiri Rasmi Tanzania kuhudhuria Kuapishwa kwa Ndugu yake wa karibu Dk. John Pombe magufuli. Ambaye ndiye Rais mteule anaye tarajiwa kuapishwa Alhamisi tarehe 5/11/2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Rais John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake kutoka Nigeria, TB Joshua baada ya kushuka katika ndege aliyoshuka nayo kutoka Nigeria
Dr. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake TB Joshua baada ya kuwasiri Nchini Tanzania akitokea Nigeria
Sign up here with your email