LOWASSA akiwa na mkutano wake wa kampeni mjini Longido Jijini Arusha

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni, Uliofanyika eneo la Namanga, Jimbo la Longido, Jijini Arusha jana Oktoba 7, 2015.



Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Jimbo la Longido, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Namanga, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, jana Oktoba 7, 2015.




Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na baadhi ya Watoto wa Mji wa Namanga.


Sehemu ya Umati wa Wananchi wa Mji wa Namanga katika Jimbo la Longido Jijini Arusha, ukiwa umefurika kwa wingi katika Uwanja wa Namanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, anaeendelea kunadi sera zake katika maeneo mbali mbali hapa nchini.




   
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com