Manchester United wamkosa Thomas Muller

Anthony Martial

Manchester wemishia kumsajili Anthony Martial licha ya kuwa alikuwa anahitajika na vilabu tofauti vilivyopanda dau zaidi ya wana Old Trafford, ambaye kaanza msimu kwa kishindo. 

Tetesi zinasema kwamba Manchester United walitaka msajili mshambuliaji nyota wa Bayern Munich Thomas Muller katika dirisha la usajili liliisha na walikua wako tayari kulipa dau lolote lile. Louis van Gaal na uongozi walikua wako tayari kulipa gharama yoyote ile kukamilisha uhamisho huo.
Manchester waliishia kumsajili Anthony Martial ambaye kaanza msimu kwa kishindo, Japo Martial watu walisema dau ni kubwa lakini ameshaanza kulipa gharama zake kwa usajili.
 
Mpaka sasa Martial mwenye miaka 19, amefunga magoli yake 6 katika mechi zote alizocheza katika msimu huu akiwa England na kuonyesha kasi yake nzuri sana anapokuwa uwanjani.
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com