LOWASSA amfunika Slaa Jimbo la Karatu, Manyara

Mgombea wa urais kwa chini ya mwamvuli wa UKAWA kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mheshimiwa Edward Lowassa aliwasiri jimboni hapo na kupokelewa na umati mkubwa uliokuja kumsikiliza mgombea huyo katika jimbo hilo la karatu jana tarehe 9 Oktoba 2015.

Moja ya mabango yaliyokuwa yakimtaja Lowassa kama chaguo lao Karatu
 



 Mheshimiwa Edward Lowassa akiwasiri kwa chopa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika mkutano wa hadhara mjini Karatu

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akihutubi katika mkutano huo wa hadhara mjini Karatu.


Mheshimiwa Edward Lowassa akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mheshimiwa Freeman Mbowe katika mkutano wa hadhara mjini Karatu.

Mheshimiwa Edward Lowassa akiwa anahutubia mhadhara uliokusanyika kusikiliza sera na mikakati yao kwa ajili ya wananchi kama watapewa nafasi ya kuiongoza nchi.


Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akimalizia kwa kugongelea misumari kuhusu mabadiliko na kwanini tunahitaji mabadiliko nchini katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara jana Oktoba 9, 2015.

 Sehemu ya umati uliohudhuria mkutano wa kampeni ya CHADEMA katika mji wa Karatu jana tar Oktoba 9, 2015.
 Mtindo wa nywele wa kilowassa unaobeba rangi za chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vichwani mwa wanawake wafuasi wa chama hicho wakiwa katika ubora wao.


 
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com