TOP SIX KATIKA FINALI BSS 2015 USIKU HUU

Hawa ndio watahiniwa wetu usiku huu katika finali ya BSS ambapo washiriki hawa sita wataingia katika jukwaa ili kutetea ushindi wa Tsh. Milioni 60, ambapo Milion 50 atakabidhiwa mkononi na Milion kumi itakuwa ni kwa ajili ya usimamizi wa muziki kutoka kwa wasimamizi wa Tip Top Connection wanaosimamia muziki wa Diamond Platnumz, Yamoto Band, Madee n.k.

Naseeb Fonabo BSS103 

Jackline Kakengi BSS118

Frida Amani BSS102

Kelvin Gerson BSS 110

Kayumba Juma BSS 116

Angel Marry Kato BSS 106

Mshindi ataenda kupatikana baada ya mchujo wa live perfomance kwakila mshiriki mpaka atakapo bakia Mshindi wa BSS 2015.

Je! Unataka kumjua ... Baasi Mpigie kura mshiriki wako ilia ashinde.!
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com