Fainali za Bongo Star Search 2015 ndani ya King Solomoni Hall Dar! usiku huu zinaendelea..!!!
Eneo la jukwaa litakalowasha moto kwa washiriki sita walioingia
fainali za Bongo Star Search (BSS 2015). Mwaka huu ni mwaka wa ajabu tukishuhudia washiriki 6 wakibaki badala ya watano.. Nani atachukua Kitika hicho usiku huu ..Fuatilia katika Runinga yako ukiwa nyumbani na kuperuuzi katika blog yako ya TZYAKO.blogspot.com.
Rommy Jones akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaendelea kuingia
ndani ya ukumbi wa King Solomon kunakofanyika fainali za BSS 2015 kwa
washiriki sita waliobakia ambao mmoja wapo anaibuka na kitita kinono…
Wahudumu wa Huawei wakiwa tayari kukuhudumia na kukupa maelezo
kabambe ya namna ya ubora wa simu za Huawei ikiwemo P8 anayotamba kwa
sasa..
Wahudumu wa Huawei wakiwa katika banda lao kwa ajili ya kuitangaza na kuuza simu zao kali nje ya ukumbi wa King Solomon Hall katika msimu wa nane wa BSS 2015.
Nahreal na Aicka wakiwa katika redcapert ya bongo star search 2015
Sign up here with your email