Mtaalam wa huduma kwa wateja
wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo mara
baada ya ufunguzi wa duka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu ya
Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo
Makumbusho Gissela Akaro akimkabidhi mteja wa Tigo, Gideon Mapunda
mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma
kwa mteja.
Picha zikionyesha wateja wakisubiri huduma za tigo.
Sign up here with your email