![]() |
| Mheshimiwa Lowassa akimnadi Mbunge wa jimbo hilo kwa Tiketi ya CHADEMA |
Mgombe wa Uraisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward
Ngoyai Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Babati Mjini, katika Mkutano
wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha, Babati
Mkoani Manyara leo Oktoba 2, 2015. Baada ya kuwasiri kwake jimboni hapo jana tar 2 Oktoba 2015 na kuwasalimu, huku akisisitiza kuingia ikulu kwa kishindo.
Sign up here with your email






