Ars'ene Wenger: Hatutakiwi kukata tamaa..!!

Arsene Wenger


Meneja wa Timu kongwe ya Arsenal, Arsene Wenger ameyasema hayo jana akisisitiza kuwa nanukuu "Sisi kama Arsenal hatuna haja ya kukuta tamaa kwani tuna kila sababu ya ushindi hasa tukielekea katika mchezo mgumu katika jumapili hii zidi ya manchester united".

 Pamoja na kwamba tumepoteza michezo kadhaa hapo nyuma lakini bado tuna Hari ya kucheza na kuweza kuishinda manchester united tukiangalia na mechi tatu za ushindi kti ya nne tulizocheza nyumbani.

Wenger anazungumzia juu ya kuachwa kwa pointi tatu na manchester united ambayo kwa sasa ipo nafasi ya kwanza, na arsenal katika nafasi ya nne, hakuumpi kukata tamaa katika mchezo unaokuja mbele yangu japo nnajua utakuwa ni mgumu na wenye ushndani sana.

Je! unataka kuicheck mchezo huo uso kwa uso basi fuata linki hii hapa chini.

Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com