MAN UNITED v/s ARSENAL: usipitwe na mechi kali katika msimu huu



Jumapili hii mahasimu hawa wawili watakuwa wanakipiga ndani ya EMIRATES stadium, ambapo kila mmoja ya mameneja wa hizi timu wamekuwa wakitambiana kuchukua ushindi katika mtanange huo.

Je! Unajua timu gani itakwenda kushinda?

Tuma maoni yako hapo chini..!!
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com