LOWASSA Aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho za marehemu Dkt.Emmauel John Makaidi

LOWASSA Aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho za marehemu Dkt.Emmauel John Makaidi aliyekuwa Mwenyekiti chama cha NLD. Marehemu alizaliwa tarehe 10 April,1941 katika kijiji cha Mvita ,kata ya Namalenga Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara.


Mh.Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho katika jeneza liloweka mwili wa Shujaa wa Mabadiliko Dkt.Emmanuel Mkaidi  katika viwanja vya karimjee jijini Dar -es- Salaam leo Oct 20,2015.
regina
Mke wa Mh.Edward Lowassa Mma Regina akisalimi na mjane wa Dkt Mkaidi katika msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Dkt. Emmanuel Makaidi katika viwanja vya karimjee Oct 20,2015.
msiba mbowe
Mh.Mmbowe Mwenyekiti wa Chadema wakisalimiana na katibu mkuu wa TFF  Selestine Mwesigwa mara baada ya kutoa heshma za mwisho wa pili kutoka kushoto ni msajili wa vyama vya Siasa Francisi Mtungi. 
 lowassa akimpa pole mke wa marehemu 
Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimpa mkono Mjane wa Dkt. Makaidi katika tukukio hilo.



Picha zote na Niccomediatz blog.

Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com