Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi,
wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akifurahi jambo na Mgombea
Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, walipokutana
katika katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwa ameusimamisha msafara
wake kupisha watu wa huduma ya kwanza walikuwa wamembeba mama mmoja
(jina lake halikupatikana kwa haraka) aliekuwa amepoteza fahamu kutokana
na kukosa hewa katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015
Umati wa watu waliohudhuria katika kampeni za Ndugu Edward lowassa huku zanzibar ili kuja kusikiliza sera za mgombea huyo kupitia mwamvuliwa vyama viundavyo Ukawa.
Sign up here with your email







