Mohamed Shein Ahaidi kukuza uvuvi wa Kisasa visiwani Zanzibar

Mohamed Shein akihutumia mhadhara Pemba ya Kusini


Akizungumza katika kampeni yake huko pemba ya kusini, Dr. Shein alisema ili kupambana na tatizo la ajira kwa wakazi wa visiwani humo Mpango wa kujenga kiwanda kikubwa cha Samaki bado unaendelea ambo dhima yake kuu ni kusaidia kukuza uchumi wa watu wa visiwani humo.

Dr. Shen alieleza kuwa dhima yao kubwa ni kuona huduma za elimu zikitolewa bure, huduma za afya bure na ajira bila ya ubaguzi wowote. Katika viwanja hivyo ndugu shein aliwatambulishwa wagombea wengine kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi wanogombea katika majimbo tofauti visiwani humo. 

Dr. Shein aliwatambulisha wawakilishi wa Zanziba Bwana Mmanga Mjengo Mjawir (Mkaoni), Bwana Mohamed Mgaza Jecha (Mtambile), Bwana Mussa Foum Mussa (Kiwani) and Bi Bahati Khamis Kombo (Chambani). Pia aliwatambulisha wabunge wa bunge la zanzibar Prof Makame Mnyaa Mbarawa (Mkoani), Bwana Khamis Salim Ali (Mtambile), Bwana Mohammed Abdalla Mwinyi (Chambani) and Bwana Rashid Abdalla Rashid (Kiwani).

kwa paomoja waliahidi kulinda amani ya nchi, kutengeneza sera na mikakati mizuri ya kiuchuni na kuwasii vijana na akina mama kufanya kazi kwa bidii katikipindi hichi amacho uwekezaji utakuwa kwa kasi kubwa sana ncini.
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com