Raisi Jakaya Mrisho Kikwete afungua Mfumo mpya wa usajili wa Biashara kwa njia ya mtandao

Mwenyekiti wa Tanzania National Business Council (TNBC), President Jakaya Kikwete, wamefungua mfumo wa usajiri wa biashara (BRELA) ambapo sasa usajili unaweza kufanyika kwa njia ya mtandao ukiwa popote ulipo.

Ili kuwezesha mazingira mazuri ya kibiashara kwa watu binafsi, mashirika na makampuni tumeamua kufungua njia hii ya kidigitali kwa ajilia ya kuwezesha urahisi wa kuweka biashara yako katika unafuu zaidi. Akizungumza Mwenyekiti wa bodi hiyo Mr. Frank Kanyusi (BRELA).

Kuhamia katika mfumo huu, kutasaidia upungufu na mlolongo mkubwa wa hatua za kufanya usajiri na malipo kwani sasa mfanyabiashara hatotakiwa kuja moja kwa moja kwa moja katika ofisi zetu bali atalipia hapo alipo na kukamilisha usajili wake na kupata cheti chake kupitia mfumo huu wa kielectronic.

Mr. Frank alimweleza Jakaya Kikwete kuwa kupitia huduma hii itakavyopambana na otoaji rushwa na kusifu jitihada za wabunifu waliofanya kazi ya kutengeneza mfumo huu ambao unazinduliwa ambao umefanywa na watanzania wenyewe wataalam wa masuala ya sayansi ya tehama.
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com