Ben Pol kuelekea Afrika Kusini kufanya video ya ‘Ningefanyaje’ na Justin Campos

Mwimbaji wa R&B, Ben Pol amesema anatarajia kwenye nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake ‘Ningefanyaje’ na muongozaji Justin Campos.

Ben pol
Ben Pol
Ben Pol ameiambia Bongo5 kuwa, ameamua kuwekeza zaidi kwenye muziki wake ili apate mafanikio makubwa.

 “Video na-shoot kuanzia tarehe 20 na director Justin Campos South Africa,” alisema Ben Pol.

“Kuna sababu kama tatu au nne zam singi. Kwanza na mimi nataka utofauti, nataka utofauti wa mazingira na quality. Cha pili nataka exposure fulani kwenye media na tayari nimeshaanza kuorganize interview kwenye media za kule. Lakini vile vile mambo yanaenda kwa speed kidogo, muziki unachangamka kwa sasa hivi, sio kama ilivyokuwa jana na juzi. The more you invest unapata kikubwa na unaonekana,” aliongeza.

Kwenye wimbo huo Ben Pol aliwashirikisha Avril na Rossie M. 

 Avril





Chanzo: Bongo5 
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com