MUANDAAJI WA VIPINDI WA THE ORIGINAL COMMEDY APATA JIKO.

seki (4)
Maharusi katikati wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya na wageni waliohudhuria kwenye harusi hiyo.

seki (1)
Wachekeshaji wa kundi la Ze Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' na Mc Legan wakicheza na Bi harusi.

 seki (2)
Joti wa Ze Orijino Komedi akiwa katika pozi na Bi harusi. 

seki (4)
Masanja na wageni waalikwa wengine kwenye harusi hiyo.

 seki (5)
seki (7)
Selfie ikichukua nafasi.

seki (8)
Wakuvanga na Bi. harusi 

seki (10)
Masanja Mkandamizaji na Bwana harusi ambaye ni Muandaaji wa vipindi vya kundi la wachekeshaji la Ze Orijino Komedi 'OK', Sekione David 'Seki'.

 seki (12)
Masnja na wageni waalikwa

seki (2)
Masanja na Bi harusi.

seki (3)
Furaha ikipamba moto. 

seki (1)
Bw. harusi Seki (katikati) na wageni waalikwa.



Chanzo: Global Publishers
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com