Hebu tazama mahasimu hawa walivyo umana na kutoka sare ya goli moja kwa moja. Goli la kuongoza lilifungwa na Benzema baada ya kupokea Mpira mrefu upande wa kulia mwa uwanja na kuunganisha kwa kupiga kichwa kizuri kilichomshinda golikipa wa Atletico Madrid
Baadaye dak 83 Mchezaji wa atletico madrid Luciano Vietto akasawazisha goli hilo na kufanya watoke sare ya kufungana goli moja kwa moja.
Tazama video hapa chini jinsi magoli hayo yalivyopatikana katika mechi hiyo ya kipekee
Mwisho: Atletico Madrid 1 - 1 Real Madrid
Sign up here with your email