VIDEO MPYA: MABESTE - USIWE BUBU

Rapper Mabeste ameachia rasmi video yake mpya ya ‘Usiwe Bubu’ weekend iliyopita. Story ya video hii imewahusisha watu wawili tu ambao ni Mabeste na video model ambaye kwenye maisha ya kawaida ni mchumba na mama wa mtoto wa Mabeste aitwaye Lisa. Video imeongozwa na AJ.

Tazama vidio ya mwimbo wake huu mpya hapa:


Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com