INSPECTOR HAROUN: BONGO FLAVA INAPOTEZA UTAMBULISHO WAKE

Msanii mkongwe, Inspector Haroun amesema muziki wa Bongo Flava  unaenda ukipotea kutokana na wasanii kudokoa vionjo vya muziki wa nje.


Hitmaker huyo wa Mtoto wa Geti Kali, alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio wiki iliyopita kuwa wasanii wanafanya vizuri kwa melody za kudokoa hivyo wanatakiwa kuchukua tahadhari.

“Siku hizi vijana wanafanya vizuri, wana melody nzuri wanaimba lakini wamekuwa wana bite bite sana,” alisema. “Yaani wana style za kudokoadokoa sehemu, hiyo itatuletea athari baadaye. Tutapoteza ile identity ya Bongo Flava kwa sababu tulikuwa na Bongo Flava yetu,” alisisitiza. 


Chanzo:BONGO5
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com