Huu ndio mtanange wa Everton dhidi ya Liverpool ambapo miamba hii ilitoana jasho kwa kutoka na sare ya goli moja kwa moja mpaka mpira unamalizika
Danny Ings 42′ (liverpool) na Romelu Lukaku 45' (Everton)
Mwisho: Everton 1 - 1 Liverpool
Sign up here with your email