Manchester wapo nyuma kwa magoli matatu dhidi ya Arsenal Dakika ya 53

Manchester wapo nyuma kwa magoli matatu dhidi ya Arsenal Dakika ya 53. Arsenal wamejipatia magoli matatu dakika za mwanzoni kabisa


Magoli yamefungwa na A. Sanchez dakika ya 6, Goli la pili likafungwa na M. Ozil dakika ya 7 na baadaye dk 19 A. Sanchez akapachika goal la tatu..

                                                      Bado mechi inaendelea...!!!
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com