Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiwasili na chopa katika uwanja wa Polisi mjini Monduli kwa mwendelezo wa kampenzi zake za uchaguzi mkuu Oktoba,25 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na
Mkewe Mama Regina Lowassa, wakishiriki tendo la kimila ya Jamii ya Watu
wa Kimasaai lililoongozwa na Malaigwanani.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Polisi, Monduli Mjini jana Oktoba 5, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya CHADEMA,
Julius Kalanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja
wa Polisi.
Wananchi wa Monduli wakimpokea kwa shangwe, mpendwa wao ambaye ni Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Polisi, Monduli Mjini, leo Oktoba 5, 2015. Picha na Othman Michuzi, Monduli.
Sign up here with your email