MBEKENHO: WAJASILIA MALI WANAOFUNDISHA UPATE FAIDA


WAJASILIA MALI WANAOTENGENEZA VITU MBALIMBALI TANZANIA, KAMA MAVAZI (Batiki), SABUNI, MAFUTA, NA UTOAJI WA SEMINA ELEKEZI WAKITOA MAFUNZO JUU YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA MBALIMBALI ILI KUINUA KIPATO CHA MTANZANIA KWA KUJITEGEMEA MWENYEWE NA KUPATA FAIDA
  • Je! unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali zenye kuweza kukuongezea kipato?
  • Je! Unahitaji bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na MBEKENHO kama Mavazi (Batiki), Sabuni, Mafuata nk kwa bei naafuu sana ?
  • Ukinunua bidhaa unafikishiwa popote ulipo na MBEKENHO. (Faida).
  • Je! Ungependa kuhudhuria mafundisho elekezi yanayofanyika katika eneo lako..?
          TOA ODA YAKO SASA POPOTE TUTAKUFIKIA
 
              Wasiliana na MBEKENHO kwa anuani zifuatazo: 
              Simu ya Mkononi: 0653 591 232  
              Whatsapp: 0653 591 232
              Facebook: Mbekenho
              Instagram: Mbekenho 
Barua pepe: leahmbeke@gmail.com












CHAGUO LAKO KIPAUMBELE CHETU
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com