CCM yaishika Unguja nungwi kaskazini leo


Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika  katika  uwanja wa  mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja Oktoba 6, 2015.

  unguja leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed shein akiteta jambo na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika  katika  uwanja wa  mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja Oktoba 6, 2015.
 
 ccm unguja

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC na Waziri wa ardhi,maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban akielezea wananchi na wanaCCM kuhusu suala zima la Uchimbaji wa mfuta katika mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja Oktoba 6, 2015.

 ccm unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed shein akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wapenda amani katika uwaja wa mpira Nungwi Wialaya ya Kaskazini A mkoa wa kaskazini Unguja  katika mkuatno wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu utakaofanyika hivi karibuni.

 unguja leo

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja Ali Makame Khamis akiwapungia mkono wanachama na wanaCCM wakati alipoufungua mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika  uwanja wa mpira Nungwi Wilaya ya kakszini A Unguja.

 unguja leo
 
Baadhi ya wananchama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed shein alipokuwa akizungumza nao leo katika mkutano wa hadhara uliofanyika  uwanja wa  mpira Nungwi Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja
  
 ungujal leo

Wanachama wa CCM na Wapenda amani wakinyoosha mikono yao juu kuashiria kuunga mkono maneno na sera zilizotolewa na mjumhe wa Kamati Kuu ya CCM Khadija Hassan Aboud  wakati wa Mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Nungwi Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini  Unguja katika uwanja wa mpira.
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com