Hizi ndizo picha zilizopigwa jana katika kampeni yake aliyoifanya katika kata ya Ruaha jana jioni. Profesa Jay aliweza kijinadi kwa style yake lakini hakuacha kuwaburudisha umati uliokuwa umekusanyika katika mkutano huo kwa ajili ya kusikiliza sera za mgombea huyo.
Sign up here with your email