Fainali Bongo Star Search 2015 Ijumaa hii


Finali za Bongo star Search zimefika katika wakati mzuri wa kupata mshindi baada ya kuwa na mchakato mrefu na kupata wasanii 6 ambao ndio watakaoshiriki katika kutafuta kinyang'anyiro cha kuchukua Ushindi.

Kama umekuwa mfuatiliaji, toka walipoanza mpaka hapo walipofikia tunatumai umeona vipaji vingi sana, kiasi kwamba hukutamani wapungue kwa jinsi walivyo onyesha umahiri wao mkubwa masuala mazima ya sanaa katika muziki.

Kama ulichagua kufuatilia BSS mwaka huu basi CHAGUA KUTOKUKOSA KATIKA FINALI HIZI. 
Previous
Next Post »
Show Comments: OR

Contact us

Name

Email *

Message *

Tangaza nasi

Tangaza nasi
Freebango.com